Elameja asanteni nimepokea mzigo wangu. Asanteni kwa uaminifu wenu, simu nzuri nyie ni wakweli

ANNASTAZIA OTAMA
Mfanya biashara, Arusha
Great service, fast shipping, and very reasonable prices for products of such quality!
ERIK JOHNSON
Dar Es Salaam, Tanzania
Product quality is top-notch. Shipping is fast. Customer service is AMAZING. I honestly can't recommend them enough.
SUZY MWIJAGE
Student UDSM

Asante Elameja nimepokea mzigo mida hii kutoka stand. M/Mungu azidi wabariki katika kazi yenu na mzidi kupata wateja hakika mmefanya kazi kubwa ktk kuhakikisha bidhaa inamfikia mteja. Asanteni kwa uaminifu wenu wa hali ya juu. 

IGILO H. RAMADHANI
Morogoro, Tanzania

Tunapatikana jijini Mwanza

Lumumba Street

Masaa ya kazi

JUMATATU-IJUMAA 

2:00 Asb - 12:00 Jioni 

JUMAMOSI 

2:00 Asb - 9:30 Alasiri 

JUMAPILI 

Hatufungui

Edwin Japhet

Founder & C.E.O

Elameja Company Ltd

KUHUSU SISI

Imeanzishwa miaka michache iliyopita, Elameja ni kampuni changa na yenye ari, iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria ya makampuni ya mwaka 2002 yenye nambari ya usajili 143382699, inayoshughulika na uuzaji, na ukopeshaji wa simu na vifaa vyake, yenye makao yake makuu jijini Mwanza – Tanzania (Afrika Mashariki).

Imejaa mawazo mapya na nguvu. Lengo letu ni kufanya umiliki simu ya ndoto yako kirahisi, kwa kukupa mkopo, kisha unalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu. Pia tunakuondolea usumbufu wa kwenda dukani kwa kukuletea bidhaa hadi mlangoni kwako buree.

Utofauti wetu ni bidhaa zetu bora kwa bei nafuu sana kuliko Ile ya madukani.

Wasiliana Nasi Kupitia:

Simu: 0758045959

Barua pepe: sales@elameja.co.tz